Carte Hofu E. a. Musiba

Hofu

Autor: E. a. Musiba
Limbă: swahili
Legare: Carte broșată
Disponibilitate: În depozitul extern
Expediem în 9-15 zile
118.23 lei
Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini siku ya kuwakumbuka w...

Informații despre carte

Autor
Limbă
swahili
Legare
Carte - Carte broșată
Publicat
2018
Pagini
162
EAN
9789987083275
ISBN
9987083277
Enbook ID
36290627
Greutate
150
Dimensiuni
129 x 198 x 10

Descriere completă

Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini siku ya kuwakumbuka wazalendo, waliouawa mjini Sharpeville mwaka 1960. Makaburu wanajawa na hofu kwa mauaji hayo, na wanawatilia shaka kuwa ni njama za kikundi cha watu weusi za kutaka kupindua mfumo wa Serikali yao ya Ubaguzi wa Rangi. 

Uongozi wa Makaburu wa Afrika Kusini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Shirika la Ujajusi, Kamanda wa Jeshi la Kulfut na Mkuu wa Magaidi, wasaliti wa UNITA, wanakutana ili kukabili juhudi za ukombozi wa Afrika Kusini kuwa wimbi la mauaji. Wanapanga pia, mikakati ya kuzizorotesha kisiasa na kiuchumi nchi zilizo mstari wa mbele kupinga uongozi wao na kuzifanya ziogope na kuacha kuwasaidia Wapigania Ukombozi.

Mkutano wa Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini unafanyika Arusha, nchini Tanzania. Jambo hili linawatia hofu Makaburu, hivyo basi, mikakati kabambe inafanywa na Serikali yao ili kuusambaratisha mkutano huo. Umoja wa Wapigania Uhuru nao unaandaa kikundi makini kabisa ili kupambana na Makaburu hao na kuulinda mkutano wao.

Mpelelezi nguli wa Afrika, Willy Gamba, hakosi panapokuwa na mapambano kati ya upande wenye haki, upande wa umma na ule wa dhuluma. Kwa kushirikiana na wapelelezi mahiri kutoka nchi za Kusini mwa Afrika kwa kutumia medani za kivita, mateke, ngumi, kung fu achilia mbali bastola, visu na silaha nyingine wanapambana dhidi ya Makaburu hao na vikundi mbalimbali vya kigaidi vilivyoshirikiana nao. Hekaheka zinatokea Arusha, Makaburu wanakipata cha moto. Mwindaji awa mwindwaji...fuatilia.

The four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.

Clienții care au cumpărat această carte au mai cumpărat și

PlayHit

Campion
96.03 lei

Glisser

Jane Washington
132.15 lei
96.64 lei
77.27 lei

Killing Commendatore

Haruki Murakami
106.73 lei

Secrets

Mania Moore
64.86 lei
100.88 lei

Soulmotion

Natasa/Vasilic Mirkovic-De Ro
117.22 lei

Shulton City

Jose Galileo Martinez
102.49 lei

Poems

Harriet Winslow Sewall
168.47 lei
1 162.20 lei
96.64 lei
220.43 lei